RSS Parrot

BETA

🦜 Taifa Leo

@taifaleo.nation.co.ke@rss-parrot.net

I'm an automated parrot! I relay a website's RSS feed to the Fediverse. Every time a new post appears in the feed, I toot about it. Follow me to get all new posts in your Mastodon timeline! Brought to you by the RSS Parrot.

---

Your feed and you don't want it here? Just e-mail the birb.

Site URL: taifaleo.nation.co.ke

Feed URL: taifaleo.nation.co.ke/feed

Posts: 85

Followers: 1

Kombe la Dunia: Bei ya tiketi yazua kilio

Published: March 25, 2026 10:22

LONODN, UINGEREZA Chama cha Mashabiki wa Soka barani Ulaya (FSE) kimewasilisha malalamishi rasmi dhidi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kikilalamikia “bei ghali zaidi za tiketi” za Kombe la Dunia la mwaka huu. FSE, kwa ushirikiano na…

Amebobea kuchoma nyama kwa kutumia moshi

Published: March 24, 2026 12:31

KILICHOANZA kama burudani ya kupikia familia na marafiki nyumbani karibu miaka kumi iliyopita kwa Steve Gitu, sasa kimegeuka kuwa fursa kubwa ya kibiashara. Leo hii, Gitu ni mwanzilishi wa Rib Racks Ltd, kampuni inayojihusisha na uchomaji wa nyama na…

Jinsi hifadhi za kijamii zinavyoendeleza biashara licha ya kusitishwa kwa ufadhili wa USAID

Published: March 24, 2026 11:16

HIFADHI nyingi za wanyamapori za kijamii Kenya zimekuwa zikitegemea kwa kiasi kikubwa ufadhili wa wahisani kutoka nje ya nchi kuendesha shughuli, na kufuatia kusitishwa kwa ufadhili kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Amerika (USAID), sasa…

Hofu familia zilizovutiwa na vyakula wakati wa Ramadhani zikikosa kurejea makwao

Published: March 24, 2026 02:55

WAKATI Waislamu walipohitimisha mwezi wao mtukufu wa Ramadhani Ijumaa iliyopita, changamoto ya kipekee imeibuka. Katika kipindi chote cha Ramadhani, viongozi wengi wa kisiasa, mashirika ya kibiashara na wananchi wa kawaida walijihusisha na shughuli za…

Trump asitisha ghafla vita Iran saa chache kabla ya makataa ya kulipua vituo vya kawi

Published: March 23, 2026 12:04

TEL AVIV/JERUSALEM/WASHINGTON, RAIS Donald Trump amesitisha ghafla vita Iran, saa chache kabla ya muda wa saa 48 aliokuwa ameambia Iran ifungue Mkondo wa Hormuz lau sivyo alipue vituo vyote vya kawi nchini humo na kutumbukiza taifa nzima kwenye giza…

Utata wa miili ya Nyamira kuzikwa Kericho

Published: March 23, 2026 11:08

UTATA umezuka kuhusu miili 14 ambayo ilizikwa kisiri katika Kaunti ya Kericho huku wamiliki wa makaburi, maafisa wa utawala wa kieneo, polisi na serikali ya kaunti hiyo wakionekana kutokuwa na ufahamu wowote kuhusu tukio hilo. Maswali yameibuka kuhusu…

LUGHA: Makosa ya kukanusha sentensi bila kuzingatia viambishi vya ngeli husika

Published: March 23, 2026 07:55

UTUNGAJI wa sentensi sahihi za Kiswahili huzingatia ngeli. Ngeli ni kundi la nomino zenye sifa sawa kiupatanishi kisarufi. Hata ingawa wapo wanafunzi wengi wanaoweza kutunga sentensi sahihi wakizingatia viambishi sahihi vya upatanisho wa kisarufi, wapo…

Uhaba wa mafuta washuhudiwa nchini licha ya serikali kusisitiza kuna akiba ya kutosha

Published: March 22, 2026 10:49

UHABA wa mafuta umeanza kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini huku madereva wakiripoti kuyakosa vituoni, licha ya serikali kusisitiza akiba ya kitaifa bado iko thabiti. Katika jiji la Nairobi, hasa kwenye Barabara ya Lang’ata, baadhi ya vituo vya…

Mataifa ya Mashariki ya Kati yaadhimisha Idd huku mapambano kati ya Iran, Amerika na Israeli yakichacha

Published: March 21, 2026 04:55

MATAIFA ya Mashariki ya Kati kama vile Saudia Arabia wanasherehekea sikukuu ya Idd mashambulizi yakiendelea kati ya Iran, Israeli na Amerika. Sikukuu ya Idd katika Mataifa ya Ghuba zitafanyika katika misikiti ya kawaida badala ya umati wa watu kukusanyika…

ODM kuandaa NDC vita vya ubabe vikiendelea

Published: March 21, 2026 02:55

MIKUTANO ya wajumbe wa kitaifa ya vyama vya kisiasa nchini mara nyingi huwa mahali ambapo nyota za kisiasa huzaliwa huku nyingine zikizimika ghafla. Katika historia ya siasa za Kenya, mikutano hii imekuwa na nguvu kubwa ya kuamua mustakabali wa vyama na…

Nyota wa filamu Chuck Norris amefariki dunia

Published: March 20, 2026 15:33

MUIGIZAJI mashuhuri wa filamu za mapigano na bingwa wa zamani wa karate, Chuck Norris, amefariki dunia, familia yake ilitangaza kupitia taarifa iliyochapishwa katika akaunti yake ya Instagram Ijumaa Machi 20, 2026. Katika taarifa hiyo, familia yake…

Ripoti yafichua madiwani wanatumia karibu bilioni kutalii dunia kaunti zikikosa pesa

Published: March 20, 2026 07:55

KAUNTI 41 nchini zilitumia jumla ya Sh822 milioni kwa safari za nje ya nchi ndani ya kipindi cha miezi sita, licha ya hatua za kubana matumizi zilizotangazwa na Rais William Ruto miaka miwili iliyopita. Ripoti mpya ya Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o…

Kindiki ashuhudia mvutano kuhusu kiti chake Pwani

Published: March 20, 2026 05:55

NAIBU Rais Kithure Kindiki alirudi katika eneo la Pwani na kukutana na mvutano wa kisiasa kati ya wanasiasa wa chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA) na kile cha Orange Democratic Movement (ODM) wanaomenyania nafasi yake wakati wa uchaguzi ujao.…

Jinsi ‘YouTube’ ilimpa wazo la ufugaji nyuki na kumgeuza mfanyabiashara hodari

Published: March 18, 2026 07:55

KIJIJI cha Bobaracho, eneobunge la Nyaribari Chache, Kaunti ya Kisii kina mradi mzuri wa ufugaji nyuki. Mradi huo unamilikiwa na Peter Mautia, 24, ambaye aliuanzisha baada ya kutazama video moja kwenye mtandao wa YouTube. Jarida la Akilimali lilipata fursa…

Viongozi wanajivua busara kwa kurushiana matusi

Published: March 17, 2026 18:02

Malumbano makali ya kisiasa yanayoendelea kati ya Rais William Ruto na baadhi ya vinara wa upinzani yameanza kuzua wasiwasi miongoni mwa wananchi kuhusu heshima na hadhi ya uongozi nchini. Kauli za cheche zinazotupiana pande hizi mbili zinaonekana kama…

SHAIRI: Lala pema Khamenei

Published: March 17, 2026 11:03

Kwa jina lake Karima, Yarrabi Allah Manani,Natetema natetema, aloyafanza shetwani,Wa Marekani mnyama, na nguruwe mzayuni,Walovamia Irani, wakamuua mwandani.Unyama huo unyama, ukafiri ufatani,Walofanza zao njama, vigaro vya tini tini,Kwa Mola wana lawama,…

BI TAIFA – FAITH BITUTU

Published: March 17, 2026 09:04

Anayetupambia ukurasa huu ni Bi Faith Bitutu, 22, ambaye ni mwanafunzi katika Chuo cha Rift Valley National Polytechnic. Uraibu wake ni kukutana na marafiki wapya na kusikiliza muziki, mapishi na kusoma. PICHA| RICHARD MAOSI